*Unga wa ngano 200g
*Blue band au siag 200g
*Mayai 4sawa na 200g
*Banking powder 1/2kijiko
*Vanila Kijiko kimoja na nusu
*Chumvi Kijiko 1/2
*Maziwa Kijiko kimoja kikubwa
NJINSI YA KUANDAA NA KUPIKA
Unaandaa bakuli kubwa unatia siag pamoja na sukari vanila unapiga had iwe lain Kwa kutumia mwiko au hand mixer baada ya kulainika unatia mayai yote unaendelea kupiga au kumix Kwa kutumia mwiko au hand mixer kisha unaweka unga uliochekecha pamoja na Chumvi unaendelea kupiga ukishaweka unga haitakiwi upige sana Kwa sababu mchanganyiko utakuwa wepesi sana kisha unatia maziwa hapo utatumia mwiko kuchanganyia unaweza kutumia bat inch 8cm au vibati viwili inch 6 sita baada ya hapo itakuwa tayari kuweka mwenye oven aujiko la mkaa.oven unaweza kutumia dakika 25-30 ,180c lakin itatengemeaoven yako vizur zaidi ukiwa unaangalia kama imeiva unaweza kuchoma katikati nakijuti iliuone kama imeiva kama haijaiva utapunguza moto kiasi baada ya hapo itakuwa tayari Kwa kuliwa
No comments:
Post a Comment