CHUKULA. KG
1:mahidi. 40
2:pumba za mahidi. 28
3:mahidi ya alizet. 18
4:soya. 4
5:dagaa. 6
6:mifupa ya kusagwa. 4
7:Chumvi. 1/4
8: vitamin. 1/2
*NJINSI YA KUANDAA KILO 100 ZA MCHANGANYIKO WA CHUKULA CHA KUKU WANAOKUWA WIKI 19 NAKUENDELEA
VYAKULA. KG
1:pumba za mahidi. 44
2:pumba za mahidi. 25
3:soya. 4
4:mashudu ya alizeti. 16
5:dagaa. 6
6:mifupa iliyosangwa 2
7:Chumvi. 1/4
8: vitamin(premix. *NAMNA YAKUANDAA MCHANGANYIKO WA CHUKULA CHA KUKU WA NYAMA AU MAYAI
_unaanzakuchanganya VYAKULA venye vipimo vikubwa kisha vinafata vidogo unachanganya Kwa KUTUMIAmkono ndio vizuri zaidi au unaweza KUTUMIA koleohakikisha vimechanganyika vizur mpakahapo hapo tayari,
Translate
Thursday, June 20, 2019

Home
Unlabelled
NJINSI YA KUANDAA MCHANGANYIKO KILO 100 WA CHUKULA CHA KUKU WANAOKUWA WIKI 8-15 KUKU WA MAYAI NA WA NYAMA
NJINSI YA KUANDAA MCHANGANYIKO KILO 100 WA CHUKULA CHA KUKU WANAOKUWA WIKI 8-15 KUKU WA MAYAI NA WA NYAMA
Share This
About PRINCESS HD TV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
No comments:
Post a Comment